Search

343 results for Seif Jumanne :

  1. Wakazi wa Njombe waiomba Tarura kutelekeza ujenzi wa daraja

    Wananchi wameiomba Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura), ikamilishe ujenzi huo

  2. Makowo wapewa gari la wagonjwa waliloomba serikalini 2021

    Gari hilo litapunguza changamoto ya usafiri kwa wagonjwa kufuata huduma za afya.

  3. Dk Nchimbi awaonya wanaCCM udalali kwa wasaka uongozi

    Dk Nchimbi amewataka WanaCCM kujenga umoja ndani ya chama hicho kwa nguvu zao zote na kueleza mambo mazuri yanayotekelezwa na Serikali.

  4. Baba atiwa mbaroni akidaiwa kumnajisi mtoto wake

    Adai mtuhumiwa amekuwa akimfanyia kitendo hicho tangu mwaka 2022.

  5. Watu tisa mbaroni kwa tuhuma za kumuua mlinzi

    Tukio hilo la mauaji limetokea katika Mtaa wa Uzunguni, Kata ya Maguvani, usiku wa kuamkia April 13, 2024, saa 8:30 usiku

  6. Wahitimu ualimu watakiwa kuzingatia maadili, weledi

    Yadaiwa kuwepo changamoto kubwa ya walimu kufanya kazi ya kufundisha kwa mazoea na mwisho wa siku wanafunzi hawafanyi vizuri katika masomo yao.

  7. Mtoto akamatwa akidaiwa kumlawiti mwenzake Njombe

    Mtuhumiwa (12) aliacha shule akiwa darasa la sita naamekuwa akimfanyia hivi vitendo mtoto wa miaka 10 kwa muda mrefu.

  8. Ubovu wa barabara Dar bado 'fupa gumu'

    Amefafanua katika bajeti, Tanroad ilitengewa Sh20 bilioni kama fedha ya dharura lakini alibainisha kuwa ili kuweka mambo sawa zinahitajika walau Sh280 bilioni.

  9. Askari mbaroni akidaiwa kumjeruhi mfanyakazi wa ndani

    Kamanda wa Polisi Njomba ametoa rai kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa za unyanyasaji.

  10. Wakulima watakiwa kuzingatia kilimo bora kabla ya kudai bei ya mazao

    Wakulima wengi wamekuwa wakilalamikia bei ya mazao, lakini changamoto kubwa iliyopo kwa Watanzania katika kilimo sio bei bali ni tija katika kile kinachozalishwa

Page 1 of 35

Next